• Hello Members, This forums is for DV lottery visas only. For other immigration related questions, please go to our forums home page, find the related forum and post it there.

2014 DV winners from Tanzania-Karibuni

engmtolera

Registered Users (C)
Hongera sana kwa kupata nafasi ya DV,kama unatatizo lolote lile na ungehitaji msaada basi usisite tupo pamoja.
 
tukumbuke kuwa,DV ya mwaka jana 2013,waliobahatika kupata nafasi ni watu 157 tu,kwa mwaka huu bado haijawekwa wazi,ikiwa tayari basi tutajurishana.
 
Hongera na wewe pia.

Mungu akipenda, mimi na hama mwezi wa nane. Bado nasubiri interview na namini itafanyiwa August.

Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
 
hongereni sana kwa kushinda, mimi ni mtanzania pia ila kwa sasa naishi karribea kama mwaka mmoja ,nimecheza bahati basibu ya dv mara mbili sijafanikiwa ila wife kafanikiwa mwaka huu ,nauliza kwa watz police record inapatikanaje?,je lazima nije nyumbani au ndugu anaweza kunichukulia nikaipata on time kuna usumbuu kushusu kuipata ?,pia nauliza ni lazima niwe na interpool polce record au ya kutoka wizara ya mambo ya ndani inatosha ?,je lazima nipate nyingine kutoka arusha manake ndiko nlikozaliwa,pia watz tunahitaji kuonyesha forni134 manake nasikianchi nyingine hawaulizwi ,waliotangulia kufanya intervie watusaidie ,itafurahi sana kupata majibu kazi njema
 
Police report inahitaji kuacha fingerprints, inapatikana wizara ya mambo ya ndani. Mimi niliomba yangu huko lakini nilienda in person kuacha alama za vidole. Hauhitaji nyingine kutoka Arusha kwa sababu maelezo yao yanaonyesha unahitaji kwenda mambo ya ndani Dar. Usisahau kuandika barua, hata kama utaenda mwenyewe. Mimi nilienda na barua kuelezea nachohitaji na kwa sababu gani, nilipelekwa na mtu wa mambo ya nje na aliambatanisha na barua. Kwa hiyo nadhani ni moja ya mahitaji yao.

Sifahamu process za kuombea visa TZ, ila website yao ya TZ itakuwa inasema mahitaji yao.
 
Shukrani kwa majibu yenye kutia moyo,nadhani toka kwako tunaweza pata uzoefu wako kuhusu usahili,afya na mengine mengi yahusuyo DV,je ni kweli siku ya usahili ni lazima niende na bank statement? je kuna ugumu wowote ule ktk usahili? ni maswali gani wanauliza?
 
Last edited by a moderator:
Police report inahitaji kuacha fingerprints, inapatikana wizara ya mambo ya ndani. Mimi niliomba yangu huko lakini nilienda in person kuacha alama za vidole. Hauhitaji nyingine kutoka Arusha kwa sababu maelezo yao yanaonyesha unahitaji kwenda mambo ya ndani Dar. Usisahau kuandika barua, hata kama utaenda mwenyewe. Mimi nilienda na barua kuelezea nachohitaji na kwa sababu gani, nilipelekwa na mtu wa mambo ya nje na aliambatanisha na barua. Kwa hiyo nadhani ni moja ya mahitaji yao.

Sifahamu process za kuombea visa TZ, ila website yao ya TZ itakuwa inasema mahitaji yao.

Shukrani kwa majibu yenye kutia moyo,
na bei ya kupata polisi ripoti ni pesa za kitanzania 2500 tu
 
Last edited by a moderator:
Hongera na wewe pia.

Mungu akipenda, mimi na hama mwezi wa nane. Bado nasubiri interview na namini itafanyiwa August.

Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
Momo1980
mungu yu mwema,muda si mrefu nawe utasimama,nikutakie kila lenye kheri na ni matumaini yetu kuwa utatupa uzoefu wako pindi tu ukishamaliza mtanange,kuna kijana nae anategemea kufanya usahili nadhani mwezi wa nane,yupo DSM kwa sasa akifuatlia baadhi ya docoments.
 
mswada wa uhamiaji,sehemu inayotuhusu
(b) EFFECTIVE DATE AND APPLICATION.—16 (1) EFFECTIVE DATE.—The amendments made by this section shall take effect on October 1, 2014
(2) APPLICATION.—An alien who receives a notification from the Secretary that the alien was selected to receive a diversity immigrant visa under section 203(c) of the Immigration and Nationality Act (8 U.S.C. 1153(c)) for fiscal year 2013 or fiscal year 2014 shall remain eligible to receive such visa under the rules of such section, as in effect on September 30, 2014. No alien may be allocated such a diversity immigrant visa for a fiscal year after fiscal year 2015.
 
Last edited by a moderator:
Police report inahitaji kuacha fingerprints, inapatikana wizara ya mambo ya ndani. Mimi niliomba yangu huko lakini nilienda in person kuacha alama za vidole. Hauhitaji nyingine kutoka Arusha kwa sababu maelezo yao yanaonyesha unahitaji kwenda mambo ya ndani Dar. Usisahau kuandika barua, hata kama utaenda mwenyewe. Mimi nilienda na barua kuelezea nachohitaji na kwa sababu gani, nilipelekwa na mtu wa mambo ya nje na aliambatanisha na barua. Kwa hiyo nadhani ni moja ya mahitaji yao.

Sifahamu process za kuombea visa TZ, ila website yao ya TZ itakuwa inasema mahitaji yao.

Hey BurundiWinner, we communicate in English on other posts so I'll keep to consistency lol

Did you pick up your police certificate in DSM at Wizara Ya Mambo Ya Ndani? I know we are supposed to get the police certificates from there (I'd planned to get a TZ police certificate and an Interpol one) but is it necessary to write a letter beforehand? Does the letter have to be in English or Kiswahili? How long does it take for them to issue a certificate?

Thanks so much for your help, be blessed :)

Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
 
Momo1980
mungu yu mwema,muda si mrefu nawe utasimama,nikutakie kila lenye kheri na ni matumaini yetu kuwa utatupa uzoefu wako pindi tu ukishamaliza mtanange,kuna kijana nae anategemea kufanya usahili nadhani mwezi wa nane,yupo DSM kwa sasa akifuatlia baadhi ya docoments.

Ahsante ndugu wangu. As I progress through the stages I will do my best to guide my Tanzanian friends.

Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
 
Hey BurundiWinner, we communicate in English on other posts so I'll keep to consistency lol

Did you pick up your police certificate in DSM at Wizara Ya Mambo Ya Ndani? I know we are supposed to get the police certificates from there (I'd planned to get a TZ police certificate and an Interpol one) but is it necessary to write a letter beforehand? Does the letter have to be in English or Kiswahili? How long does it take for them to issue a certificate?

Thanks so much for your help, be blessed :)

Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles

To obtain a certificate of good conduct for mainland Tanzania, applicants residing outside of Tanzania must send a complete set of fingerprints, together with a written request to the following address:

Ministry of Home Affairs
Criminal Investigations Department
P.O. Box 9094
Dar Es Salaam, Tanzania

Submitted fingerprints should be taken by a local police official in the requestor's place of residence, and should bear an official stamp or seal. The official should verify the identity of the individual being fingerprinted with a passport or identification card, noting the details of the identifying document. The fee is U.S. $25.00 for a foreign national, or 2,000 Tanzanian shillings for a citizen of Tanzania.

Results are generally available within two weeks of application.

My letter was in English, explaining why I need the police certificate, I don't know about the Interpol certificate, their instructions are for normal police certificate. Normally it takes 2 weeks, but as usual things can be expedited where possible.
 
Alright just to clarify, they take your fingerprints at the Ministry of Home Affairs correct? Two weeks for a certificate? I'm going to have to do some snooping around and see if I can get it quicker. Things in TZ move at the speed of a snail lol
 
To obtain a certificate of good conduct for mainland Tanzania, applicants residing outside of Tanzania must send a complete set of fingerprints, together with a written request to the following address:

Ministry of Home Affairs
Criminal Investigations Department
P.O. Box 9094
Dar Es Salaam, Tanzania

Submitted fingerprints should be taken by a local police official in the requestor's place of residence, and should bear an official stamp or seal. The official should verify the identity of the individual being fingerprinted with a passport or identification card, noting the details of the identifying document. The fee is U.S. $25.00 for a foreign national, or 2,000 Tanzanian shillings for a citizen of Tanzania.

Results are generally available within two weeks of application.

My letter was in English, explaining why I need the police certificate, I don't know about the Interpol certificate, their instructions are for normal police certificate. Normally it takes 2 weeks, but as usual things can be expedited where possible.

Okies is there a validity period for the Tanzania police certificate i.e. if I were to obtain it during the first week of June would it be valid or is it time-barred?

Another issue is that I lived in the UK as a student some 10 years ago, however I was not present in the UK for 12 months straight i.e. I left the country in between every year to come back to Tanzania.

The 12 month period is a little unclear because I'm not sure if it means 12 months straight or an accumulated period of 12 months or over. Would I need a police certificate from the UK as well?

Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
 
I am not sure about the validity, it is not indicated on the document they gave to me.

I can't say for sure about the requirement, might be a good question for the Kenyan thread as it has more people. They might know, but I think you might be better served to ask KCC so as to be 100% sure.
 
Top