engmtolera
Registered Users (C)
Hongera sana kwa kupata nafasi ya DV,kama unatatizo lolote lile na ungehitaji msaada basi usisite tupo pamoja.
Police report inahitaji kuacha fingerprints, inapatikana wizara ya mambo ya ndani. Mimi niliomba yangu huko lakini nilienda in person kuacha alama za vidole. Hauhitaji nyingine kutoka Arusha kwa sababu maelezo yao yanaonyesha unahitaji kwenda mambo ya ndani Dar. Usisahau kuandika barua, hata kama utaenda mwenyewe. Mimi nilienda na barua kuelezea nachohitaji na kwa sababu gani, nilipelekwa na mtu wa mambo ya nje na aliambatanisha na barua. Kwa hiyo nadhani ni moja ya mahitaji yao.
Sifahamu process za kuombea visa TZ, ila website yao ya TZ itakuwa inasema mahitaji yao.

Police report wanayohitaji wao ni $25 na si sh 2500.
Momo1980Hongera na wewe pia.
Mungu akipenda, mimi na hama mwezi wa nane. Bado nasubiri interview na namini itafanyiwa August.
Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
Police report inahitaji kuacha fingerprints, inapatikana wizara ya mambo ya ndani. Mimi niliomba yangu huko lakini nilienda in person kuacha alama za vidole. Hauhitaji nyingine kutoka Arusha kwa sababu maelezo yao yanaonyesha unahitaji kwenda mambo ya ndani Dar. Usisahau kuandika barua, hata kama utaenda mwenyewe. Mimi nilienda na barua kuelezea nachohitaji na kwa sababu gani, nilipelekwa na mtu wa mambo ya nje na aliambatanisha na barua. Kwa hiyo nadhani ni moja ya mahitaji yao.
Sifahamu process za kuombea visa TZ, ila website yao ya TZ itakuwa inasema mahitaji yao.
Momo1980
mungu yu mwema,muda si mrefu nawe utasimama,nikutakie kila lenye kheri na ni matumaini yetu kuwa utatupa uzoefu wako pindi tu ukishamaliza mtanange,kuna kijana nae anategemea kufanya usahili nadhani mwezi wa nane,yupo DSM kwa sasa akifuatlia baadhi ya docoments.
Hey BurundiWinner, we communicate in English on other posts so I'll keep to consistency lol
Did you pick up your police certificate in DSM at Wizara Ya Mambo Ya Ndani? I know we are supposed to get the police certificates from there (I'd planned to get a TZ police certificate and an Interpol one) but is it necessary to write a letter beforehand? Does the letter have to be in English or Kiswahili? How long does it take for them to issue a certificate?
Thanks so much for your help, be blessed
Case No - DV2013AF0007XXXX (applied the first time and got it the first time - lucky me!)
Entry Checked - 1st May 2012
Forms Sent To KCC - 10th May 2012
Received By KCC - 12th May 2012
Confirmation From KCC - 25th May 2012 after I sent them an email
2nd NL - Not Yet
Police Clearance - Not Yet
Medicals - Not Yet
Interviews - Hopefully in mid-August
Visa Pick up - Hopefully in mid-August
Port of Entry - New York JFK or Washington Dulles
asante kwa taarifa,naishi uchina kwa sasa,kuna mtu nilimuuliza,kumbe alinidanganya bwana
okI stand corrected...the police report is 2000 Tsh for citizens. I paid $25 because I am not.
To obtain a certificate of good conduct for mainland Tanzania, applicants residing outside of Tanzania must send a complete set of fingerprints, together with a written request to the following address:
Ministry of Home Affairs
Criminal Investigations Department
P.O. Box 9094
Dar Es Salaam, Tanzania
Submitted fingerprints should be taken by a local police official in the requestor's place of residence, and should bear an official stamp or seal. The official should verify the identity of the individual being fingerprinted with a passport or identification card, noting the details of the identifying document. The fee is U.S. $25.00 for a foreign national, or 2,000 Tanzanian shillings for a citizen of Tanzania.
Results are generally available within two weeks of application.
My letter was in English, explaining why I need the police certificate, I don't know about the Interpol certificate, their instructions are for normal police certificate. Normally it takes 2 weeks, but as usual things can be expedited where possible.